Pages

Monday, July 3, 2017

TAZAMA BAYERN MUNICH ALIPOANZA SOKA HADI SASA


Bayern Munich wametoa jezi zao mpya za nyumbani na ugenini kwa ajili ya msimu wa 2017-18.

Jezi hizo zinafanana na zile ambazo walikuwa wakivaa katika miaka ya 1990 lakini za sasa zikiwa zimeboreshwa.




No comments:

Post a Comment