Pages

Friday, March 3, 2017

NGOLO KANTE ASHINDA TUZO















TUZO: Kiungo wa chelsea Ng'olo Kante ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa jiji la London, huku kocha wake Antonio Conte ameshinda tuzo ya kocha Bora wa Mwaka

No comments:

Post a Comment