Pages

Wednesday, March 22, 2017

MBWANA SAMATTA NDANI YA DAR

Image result for picha za mbwana samatta akiwasili dar 

Mshambuliaji wa timu ya Genk Mbwana Samatta, tayari amewasili jijini Dar hapo jana usiku kutoka nchini Ubeligiji  kushirikiana na wachezaji wenzake wa taifa stars kuivaa timu ya Botswana katika mchezo wa kirafiki.

No comments:

Post a Comment