Pages

Monday, February 13, 2017

YANGA WAREJEA TANZANIA KESHO


Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea Tanzania kesho jumanne asubuhi kikitokea Comoro ambapo kipo. Jana Yanga ilicheza dhidi ya Ngaya ya nchini humo.

No comments:

Post a Comment